Huu ni mwendelezo wa mwaka 2021 na 2022 Samuu Schools imekuwa ikifanya vizuri kuhakikisha watoto wetu wanafanya vizuri katika mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba.

Hii inaonyesha umahiri wa walimu wa Samuu Schools katika kuwafundisha na kuwaelekeza watoto, kuwapa elimu bora na maadili mema. Hii inawasaidia wanafunzi kuwa washindani wazuri kwenye soko la elimu. Tunawakaribisha wazazi wote, muwalete watoto wenu wapate elimu bora YA UHAKIKA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked