SAMUU YAPELEKA NUSU YA DARASA VIPAJI MAALUM KIDATO CHA KWANZA 2023/2024

  • Jan. 2, 2025
  • Admin
Huu ni mwendelezo wa mwaka 2021 na 2022 Samuu Schools imekuwa ikifanya vizuri kuhakikisha watoto wetu wanafanya vizuri katika mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba.